Happy Christmas wadau wa kutoa lock

Happy Christmas wadau wa kutoa lock

Maini, mabandama figo na ndugu zao wote leo wajiandae vema kuupokea huu mzigo hevi😂View attachment 3184590
Dah! Nimekula kwa macho. Hicho cha kwenye kitoto ndoo ndo cha kwetu OG. Bila hiyo kitu, bado krismasi haijakamilika ujue.
Nadhani hakijachakachuliwa hata kidogo. Desemba hii, Kitochi bado kinatembea kwa buku moja hadi buku jero.
Aithee; Nakutakiwa Heri ya mwaka mpya.
 
Back
Top Bottom