Happy father's day...

Fathers act as a shell in a child’s life. Fathers are one of the crucial influences for a child, along with their mothers. There can be no denial on the fact that Fathers are an essential part of our support system. Along with mothers, who teach us important values and skills, fathers have an impact on relationships that children make as they grow and help in making us who we are today.

Unlike mothers, fathers keep their love and affection for the children hidden so that they don’t go weak when kids encounter difficult times in life. Fathers deserve all the love and they deserve to know how much they mean to the kids and the family.

Happy fathers day to you all respinsible fathers out there, we love you beyond imaginationπŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°



 

Thank you so much for heartfelt warm words that appreciate the efforts and sacrifices we fathers make to see our family nourish and Grow. Your words touched me so much…! Thanks [emoji4] [emoji22]
 
😍😍😍😍
 
Hii hakika imetoka moyoni.πŸ™πŸ™
 
Thanks umeandika mawazo yangu tunafanana karibu kila kitu hapo kwa baba najivunia baba yangu mimi

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Kuna koment zingine kama hii inafariji Sana
Mwanamke ukijua ulimi huu kwa wanaume mtaishi kimalkia
 
Ahsante Jah kwa kunijalia baba huyu wangu, yaan sometimes nawaza ingekua kwa baba mwingine ningekuaje? Nampenda baba kuliko kitu chochote, hata mama hajafikia,
Napenda msemo wake, "maisha ni zawadi kwa jah, na tunaishi mara 1 tu" huu msemo unanipa amani na furaha sana.

Kubwa zaidi nakumbuka nikiwa 4m 5, kuna tetesi zilinikumba ambazo si nzuri kwa yeyote, japo ni kweli, lakini baba alisimama upande wangu na kunambia,

"mwanangu kila binadamu ana mapungufu na madhaifu yake, hakna mkamilifu wala jipya chini ya jua, na Jah ana kila kusudi la kumpa binadamu mapungufu au madhaifu kwa namna anayoona yeye kwake ni sahihi, hivyo usijichukie wala kujiona mkosaji, wapo ambao wana mapungufu na madhaifu kushinda yako, na kamwe usiishi kwa kufake ili ufurahishe watu wa nje hiyo ni dhambi, ishi ndani ya uhalisia wako ili hali usikiuke kanuni na taratibu za sheria ya nchi zilizowekwa" akamalizia na msemo huu "ukipewa kilema unapewa na mwendo".

Sikuamini km Yale maneno yalikua yanatoka ndani ya knywa cha baba yangu mzazi, nililia kwa furaha sana. Na nashukuru amekua na kuwajibika ipasavyo km baba kwangu.

JAH aendelee kumuweka maisha marefu baba huyu, nipate kufurahia na kufaidika busara, upendo na nasaha zake.

[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590] nampenda sana baba yangu. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…