staff saidi
New Member
- Feb 4, 2021
- 1
- 0
Ok
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila co wote wanahistry mbaya naoLabda wana memories mbaya kuhusu baba
Kila mtu ana stori yake tofauti ya maisha
So sadNdio,hata hivyo haiwezekani wakawa wote
UdesiNina 52
Kwanini umeuliza?kama hutojali
Fathers act as a shell in a child’s life. Fathers are one of the crucial influences for a child, along with their mothers. There can be no denial on the fact that Fathers are an essential part of our support system. Along with mothers, who teach us important values and skills, fathers have an impact on relationships that children make as they grow and help in making us who we are today.
Unlike mothers, fathers keep their love and affection for the children hidden so that they don’t go weak when kids encounter difficult times in life. Fathers deserve all the love and they deserve to know how much they mean to the kids and the family.
Happy fathers day to you all respinsible fathers out there, we love you beyond imagination[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
View attachment 1824704
View attachment 1824705
😍😍😍😍Fathers act as a shell in a child’s life. Fathers are one of the crucial influences for a child, along with their mothers. There can be no denial on the fact that Fathers are an essential part of our support system. Along with mothers, who teach us important values and skills, fathers have an impact on relationships that children make as they grow and help in making us who we are today.
Unlike mothers, fathers keep their love and affection for the children hidden so that they don’t go weak when kids encounter difficult times in life. Fathers deserve all the love and they deserve to know how much they mean to the kids and the family.
Happy fathers day to you all respinsible fathers out there, we love you beyond imagination🥰🥰🥰🥰
View attachment 1824704
View attachment 1824705
Hii hakika imetoka moyoni.🙏🙏Happy father's day to my father na baba wote wanaotambua majukumu yao na hata waliopitiwa kwa namna moja ama nyingine katika kufanya majukumu yao
Uwepo wenu ni muhimu sana katika maisha yetu
Kumbukumbu zangu za tangu utotoni nyingi nzuri ninazo za baba zaidi kama
Zile outings 😊
Siku ya kwanza pia kupanda ndege nilikuwa na baba 🤣
Hospital bado nakumbuka alivyokuwa ananibeba hapa hivi shingoni 😊,nikichoma sindano za mataaako yeye ndio alikuwa ananiwekea zile barafu ili kupunguza maumivu
Sijawahi kupata tabu kiuchumi thanks to yeye
Nikikasirika anajua na anajali
Upendo wake ni ule sijawahi kuupata kwa yoyote hapa duniani and am sooooooooooooo thankful to God for my baba
Kutoka moyoni huwa namuomba Mungu anichukue mimi kabla hajamchukua yeye manake i can't imagine me without baba
Zipo kumbukumbu mbaya pia manake yeye ndio kaninyoosha zaidi kwa viboko kuliko mama 😢,sema bado ni team baba all the way ✌✌
Kina baba,nyie ni the best...hata kama juhudi zenu hazionekani kwa baadhi,jueni tupo tunaowakubali kinyamaaaaa
Uzi tayari
Thanks umeandika mawazo yangu tunafanana karibu kila kitu hapo kwa baba najivunia baba yangu mimiHappy father's day to my father na baba wote wanaotambua majukumu yao na hata waliopitiwa kwa namna moja ama nyingine katika kufanya majukumu yao
Uwepo wenu ni muhimu sana katika maisha yetu
Kumbukumbu zangu za tangu utotoni nyingi nzuri ninazo za baba zaidi kama
Zile outings [emoji4]
Siku ya kwanza pia kupanda ndege nilikuwa na baba [emoji1787]
Hospital bado nakumbuka alivyokuwa ananibeba hapa hivi shingoni [emoji4],nikichoma sindano za mataaako yeye ndio alikuwa ananiwekea zile barafu ili kupunguza maumivu
Sijawahi kupata tabu kiuchumi thanks to yeye
Nikikasirika anajua na anajali
Upendo wake ni ule sijawahi kuupata kwa yoyote hapa duniani and am sooooooooooooo thankful to God for my baba
Kutoka moyoni huwa namuomba Mungu anichukue mimi kabla hajamchukua yeye manake i can't imagine me without baba
Zipo kumbukumbu mbaya pia manake yeye ndio kaninyoosha zaidi kwa viboko kuliko mama [emoji22],sema bado ni team baba all the way [emoji111][emoji111]
Kina baba,nyie ni the best...hata kama juhudi zenu hazionekani kwa baadhi,jueni tupo tunaowakubali kinyamaaaaa
Uzi tayari
Kuna koment zingine kama hii inafariji SanaHappy father's day to my father na baba wote wanaotambua majukumu yao na hata waliopitiwa kwa namna moja ama nyingine katika kufanya majukumu yao