Happy Fathers' Day

Happy Fathers' Day

Wangari Maathai

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Posts
34,962
Reaction score
70,576
1532963_BVeNlgvBP9d.jpg
Hongereni kwenu wababa wote ..
Nakupenda Baba🥰!
🥂
 
Kibonzo hiki kimenikumbusha mbali sana,kimenitoa machozi kila ninapomkumbuka mzee. Hicho kibonzo kinamaanisha magumu anayopitia baba. Mshua alifariki nikiwa mdogo. Lakini nakumbuka mahangaiko yake,kutwa hayupo home,akirudi,na mzigo begani,ng“ombe mbele,jembe mkononi,amechoka hatari. Hajala kutwa nzima. MUNGU amlaze mahala pema peponi babangu kipenzi...[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]. Hatunaye,miaka mingi,lakini yuko sana moyoni mwangu. Matendo yake machache niliyoyashuhudia,yanaishi milele moyoni mwangu. Kaniachia kitu kikubwa sana maishani “UPAMBANAJI”. Sitamuangusha
 
Pole sana best..apumzike pema Baba😭😭! Poleni nyote mliopoteza baba
 
Back
Top Bottom