Happy Friday Mashost na ma sweetheats.....

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
16,789
Reaction score
5,401
Wapenzi nawatakia Ijumaa njema na weekend yote kwa ujumla nadhani itakuwa njema sana hasa nikiangalia ndio mwisho wa mwezi wenyewe kwa wale wenzangu walio katika ajira na wale mabiziness man /women ndo mnafanya monthly stock taking..
1.Msisahau family zenu mkazamia Bar na kurudi home mifuko tupu.
2.Msiache kina Eliza wakatumia feza mpaka mifuko ikakung'utwa
3.Kunyweni kwa afya na si kwa mashindano
5.Make sure watoto wanafurahia weekend na baba na mama
6.Wale ma Infiiiiiii ..kumbukeni kutumia Protection lile janga likiingia ndo limeteketeza family na kuacha watoto wanateseka
7.Tafadhari tusiache kutoa zaka Maana tutakuwa tunaomba mungu atupe mafanikio na tunayapata lakini sifa na utukufu tunashindwa kurudisha kwake


Love u all
 
Nashukuru,nawe uyazingatie yote uliyotuambia.Nakutakia Ijumaa na mwisho wa wiki mwema.
 
Makasisi huwa wanasema FANYENI NIYASEMAYO MSIFANYE NIYATENDAYO! Je na wewe utayatenda hayo uliyotuambia Firstlady?
 
Makasisi huwa wanasema FANYENI NIYASEMAYO MSIFANYE NIYATENDAYO! Je na wewe utayatenda hayo uliyotuambia Firstlady?

yes dear nitajitahi kufanya yote niliwaambia ,usihofu juu ya mie
 
ah ah ah same to u mama ,si wengine mshahara uliingia tangu tar 17,leo shida tupu!
 
Same to you FL1 wengine mpaka sasa hatujaiona hiyo hela sijui mpaka Feb
 
Happy furahi-day too dada FL1....mifuko mikavu kweli bado mishahara kuingia mpaka sasa
 
So its FRIDAY..... Ahsante kwa kunikumbusha?:clap2::clap2::clap2:
 


Thanks FL1,
Tumekusikia,
Ubarikiwe!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…