Happy Friday Mashost na ma sweetheats.....

Happy Friday Mashost na ma sweetheats.....

sioni hata button ya log out dah Maxence msaada
 
Angalia juu kabisa utakapoona welcome FL1 halafu katika mstari huo huo kulia kwako utaona hicho kitufe.
 
Wapenzi nawatakia Ijumaa njema na weekend yote kwa ujumla nadhani itakuwa njema sana hasa nikiangalia ndio mwisho wa mwezi wenyewe kwa wale wenzangu walio katika ajira na wale mabiziness man /women ndo mnafanya monthly stock taking..
1.Msisahau family zenu mkazamia Bar na kurudi home mifuko tupu.
2.Msiache kina Eliza wakatumia feza mpaka mifuko ikakung'utwa
3.Kunyweni kwa afya na si kwa mashindano
5.Make sure watoto wanafurahia weekend na baba na mama
6.Wale ma Infiiiiiii ..kumbukeni kutumia Protection lile janga likiingia ndo limeteketeza family na kuacha watoto wanateseka
7.Tafadhari tusiache kutoa zaka Maana tutakuwa tunaomba mungu atupe mafanikio na tunayapata lakini sifa na utukufu tunashindwa kurudisha kwake

23.gif

Love u all
ujumbe murua sana, Kidogo nikuite mama Tery. u r a material girl to make a good wife. wish I could
 
Asante mama ila me mwenzenu nina hali mbaya balaa, kesho nategemea kufanya mtihani (comprehensive) oral mbele ya madaktari sita wakinigonga maswali kwa saa moja sijui takuwaje, hata hamu ya kula sina. Ila kesho saa tano ndo nitakuwa naanza weekend yangu!
 
Usihofu Genekai mwenyezi mungu atafanya njia kuwa rahisi amini ,all the best Dr Mtarajiwa
 
Asante mama ila me mwenzenu nina hali mbaya balaa, kesho nategemea kufanya mtihani (comprehensive) oral mbele ya madaktari sita wakinigonga maswali kwa saa moja sijui takuwaje, hata hamu ya kula sina. Ila kesho saa tano ndo nitakuwa naanza weekend yangu!

All the best Mkuu, YES YOU CAN DO IT!
 
Back
Top Bottom