Happy Holidays 2008-09...

Happy Holidays 2008-09...

Invisible

JF Admin
Joined
Feb 26, 2006
Posts
16,286
Reaction score
8,380
On behalf of JamiiForums.com Administration, I would like to express our sincere wishes for the December 2008 Holidays to all our members (Registered & guests).

The end of an old year and the beginning of a new one has always been regarded as a most propitious occasion for peoples everywhere. It is time for us to take stock of the past and rededicate ourselves to the promotion of a peaceful, prosperous and contended future for ourselves and our children.

After the joy and merriment of Christmas and its message of peace and goodwill to all mankind, I extend to all the people around JF and Tanzania best wishes for good health, happiness and prosperity in the New Year 2009.

Invisible
For JamiiForums.com Administration

NB: There will be changes which will take effect from today till January 05, 2009.
i205_Sikukuu.jpg
 
Invii,

To you and yours too.

Happy Holidays to all members of JF.
Regards.
 
Merry happy new year and too much prosperous christmass to all JF members & theirs families. Tuanze mwaka mpya 2009 kwa matumaini mapya.
 
Hongera kwa Kazi nzuri mzee invisible pamoja na crew yako. Naam tumeona vitu vyenu. Website imependeza. Mnastahili pongezi.
 

Krismasi njema na furaha ya Mwaka mpya. MUNGU ibariki JF, Mungu Ibariki Tanzania.
 
Duh, unajua kudecorate.
Asante na salamu za heri zirejee kwako na pia ziende kwa wengine wote.

Umenikumbusha Jamboforums.
 
Mungu ibariki JF iweze kuwa kama 2008 na kuleta mabadiliko yanayoitajika Tanzania
 
Nitakuwa mchoyo wa fadhila kama sitawapongeza kwa kuifanya jf ionekane kama nanihinooo.... Hongereni sana mamods woote mlioipamba kwa nakshi za aina yake za sikukuu hii ya noeli...... Nawatakia wana jf woote noeli njema na ninawaomba tuwe waangalifu kwenye kipindi hiki cha sikukuu na hata kupost comments zenye kujenga na kuleta umoja si kukashifiana na kutoleana matusi kiasi watu washindwe kufurahia sikukuu... Sisi wengine jf ni kama chakula sasa tukiona hali ya hewa imechafuka tunashindwa kula... Hope mnanielewa
 
Ila niulize kitu kimoja tu hapa.... Sioni icon ya HOME Au ni macho yangu tu
 
Nawatakia wanaJF wote na familia zenu sikukuu njema ya X-MAS na kheri ya mwaka 2009. Mwenyezi Mungu awape kila mtakaloomba mwakani!!
 
Last edited:
Kwanza pongezi nyingi kwako wewe Invisible na timu yako na kuwatakia kila la heri katika sikukuu ya Christmas.
Pili nawapongeza wana JF wote popote pale walipo na kuwaomba wasife moyo - mapambano ndiyo yanaanza.
Tatu nawatakia wote Xmas njema na mwaka mpya wenye neema
Mwisho nawaomba radhi niliowaudhi kwa namna moja ma nyingine, huu ni wakati wa furaha na kusameheana - tufungue ukurasa mpya lakini tusirudi nyuma katika kumkoma nyani, this is JF where we dare !!! Cheers !!

images

images


 
Nawatakia wanaJF wote XMASS NJEMA na HERI YA MWAKA MPYA 2009 wenye MAFANIKIO.

TOGETHER We can build Tanzania without MAFISADI
 
Invisible,

Nashukuru sana kwa kutuweka live hapa kijiweni katika kipindi cha mwaka mzima wa 2008pamoja na suruba zake, toka Jamboforums had Jamiiforums. Nakutakia sehere njema za Noel na maadhimisho ya mwaka mpya wa 2009.

Katika kipindi hiki tunachoelekea kumaliza mwaka wa 2008 na kuanza mwaka wa 2009, ni vyema tupitie tena mijadala mikubwa iliyofanyika hapa tuone ni ipi ilikuwa na mafaniko na ni ipi haikuwa na mafanikio. Vile vile tujifunze ni kwa nini hatukufanikiwa na ni kwa nini tulifanikiwa kusudi tuweze kuongeza ufanisi zaidi katika mijadala ya mwaka mpya wa 2009.
 
woooow!.....

Beautiful New look!...

good job wakubwa, mavituz kama haya
yanatuondoshea 'eye-sore' sie wengine ambao
tupo addicted hapa 24/7

Good job Invisible na troop lako...!!!!
 
Wanyenyekevu lazima wainue bango tehe tehe........
 
Hizi rangirangi zenu mpya zinatuumiza macho sisi wazee. Tufikiriani na sisi bana..especially hii reddish..
 
Back
Top Bottom