Happy Holidays wapare wenzangu

harikha...fwazii huu,ukionjwa tu elaa..........niwaa aha heistu vome,tuima
 
Hahaha hahaha hahaha
Umejua kunfurahishaaa!!!
Nani anakuficha eti
Sijui kwa nini umekuwa na roho mbaya siku hizi mchagga wangu[emoji23][emoji23][emoji39], mbona hunipendi tena?
 
Sijui kwa nini umekuwa na roho mbaya siku hizi mchagga wangu[emoji23][emoji23][emoji39], mbona hunipendi tena?
Mie mpare ujue.. Halafu sina hata roho mbaya aki! Mie nakupenda kama zamani ujue
 
Woyooooo wapare oyeeeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…