Happy International Men's day

Happy International Men's day

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Leo ni siku ya Wanaume duniani...

Mwanaume ni nani? Ni yule anayeweza kujitoa maisha yake bila kutegemea malipo yoyote kutoka kwa familia yake.

Mfariji wa familia, Mjenzi, msimamizi, mlinzi, kiongozi wa kiroho wa family, mlipa ada na kodi.

Mwanaume ni yule anayeficha chozi lake ili kulinda furaha ya watoto wake...

Mwanaume.....
 
Mfalme alipata hamu ya kula samaki akaamua kutembelea ufukweni siku hiyo ikawa samaki hakuna wavuvi wote wamekosa samaki.

Wakati anarudi na wafuasi wake ndipo akakutana na Mvuvi mmoja tu alie bahatika kupata samaki watatu 3 Mfalme akataka kuwanunua Mvuvi akakataa kuwauza samaki wake.

Mfalme akaomba auziwe japo mmoja Mvuvi akamwambia Mfalme huyu samaki mmoja naenda kumkopesha sijui kama nitalipwa.

Na huyu mwengine naenda kulipa deni sijui kama nitalimaliza na huyu wa tatu naenda kumtupa

Mfalme akachukizwa kwa majibu yale akaamuru anyang'anywe wale samaki nae atupwe gerezani,

Akiwa Ikuru Mfalme akaamuru yule mvuvi aletwe mbele yake ili amuhoji
Kwanini umekataa kuniuzia mimi samaki wakati unaenda kumkopesha tena hujui kama utalipwa,,? Wapili unaenda kulipa deni na hujui kama utalimaliza,,? Kisha mwengine unaenda kumtupa wakati mimi nina shida na samaki,,?

Mvuvi akamjibu Mfalme
Huyu ninae kwenda kukopesha sijui kama nitalipwa naenda kuwapa wanangu
Kwani kuwaudumia watoto hujui kama na wao watakuhudumia
Na huyu nae kwenda kulipa deni sijui kama nitalimaliza nawapelekea wazazi wangu,
Kwa waliyo nitendea siwezi kuwalipa hata niwape nini,

Na huyu ninae enda kumtupa naenda kumpa Mke wangu
Kwani hao hawajui kushukuru wala kutosheka, hata uwape nini siku akicharuka tu atasema hujamfanyia chochote tokea umuoe!

Happy International Men's day
 
JamiiForums-552746588.jpeg
 
Aisee hii stori yako imenifurahisha sana. Kwani nilishawahi kuwa na mahusiano mwanamke ambaye hajui appreciation wala satisfaction.

Hata ukijitahidi ukamfanyia jambo fulani nzuri yeye ni kulalamika tu.

Unatumia kinywaji gani aisee? Au kama upo kinondoni naombs uje hapa "Brake Point" inatizamana na makaburi ya Kinondoni.

Ubarikiwe sana mkuu.
 
Hahahah nipo Musoma Chief! Pole
 
Mfalme alipata hamu ya kula samaki akaamua kutembelea ufukweni siku hiyo ikawa samaki hakuna wavuvi wote wamekosa samaki.

Wakati anarudi na wafuasi wake ndipo akakutana na Mvuvi mmoja tu alie bahatika kupata samaki watatu 3 Mfalme akataka kuwanunua Mvuvi akakataa kuwauza samaki wake.

Mfalme akaomba auziwe japo mmoja Mvuvi akamwambia Mfalme huyu samaki mmoja naenda kumkopesha sijui kama nitalipwa.

Na huyu mwengine naenda kulipa deni sijui kama nitalimaliza na huyu wa tatu naenda kumtupa

Mfalme akachukizwa kwa majibu yale akaamuru anyang'anywe wale samaki nae atupwe gerezani,

Akiwa Ikuru Mfalme akaamuru yule mvuvi aletwe mbele yake ili amuhoji
Kwanini umekataa kuniuzia mimi samaki wakati unaenda kumkopesha tena hujui kama utalipwa,,? Wapili unaenda kulipa deni na hujui kama utalimaliza,,? Kisha mwengine unaenda kumtupa wakati mimi nina shida na samaki,,?

Mvuvi akamjibu Mfalme
Huyu ninae kwenda kukopesha sijui kama nitalipwa naenda kuwapa wanangu
Kwani kuwaudumia watoto hujui kama na wao watakuhudumia
Na huyu nae kwenda kulipa deni sijui kama nitalimaliza nawapelekea wazazi wangu,
Kwa waliyo nitendea siwezi kuwalipa hata niwape nini,

Na huyu ninae enda kumtupa naenda kumpa Mke wangu
Kwani hao hawajui kushukuru wala kutosheka, hata uwape nini siku akicharuka tu atasema hujamfanyia chochote tokea umuoe!

Happy International Men's day
Story mbona hujaimalizia?. Naiona ina ka uhalisia wa ukweli kwenye maisha ya wanaume.
 
Back
Top Bottom