Happy International Men's day

Happy International Men's day

Yeah, nitamkumbuka tena February 14 huku nikimsapraizi na mizawadi ya kufa mtu, boxa 1 vest 1, na pair 1 ya socks
Na hyo mizawadi unaisindikiza na maeneno lukuki...! Akikuudhi lazima ukumbuke boxer 1 vest 1 socks 1...!
Babe mama mi sivaagi vest na soksi niletee boxer tu.
 
Aisee hii stori yako imenifurahisha sana. Kwani nilishawahi kuwa na mahusiano mwanamke ambaye hajui appreciation wala satisfaction.

Hata ukijitahidi ukamfanyia jambo fulani nzuri yeye ni kulalamika tu.

Unatumia kinywaji gani aisee? Au kama upo kinondoni naombs uje hapa "Brake Point" inatizamana na makaburi ya Kinondoni.

Ubarikiwe sana mkuu.
Hakuna mwanamke ambae hajui kuappreaciate ukimfanyia caring....labda ulikuwa unamsimanga baada ya kumpa vitu vyako[emoji848]
 
Hakuna mwanamke ambae hajui kuappreaciate ukimfanyia caring....labda ulikuwa unamsimanga baada ya kumpa vitu vyako[emoji848]
Wapo wengi sana. Mwanamke ambaye kika kitu ni kulalamika ni ngumu sana kuonesha appreciation.
 
Mwanaume ni yule anayeficha chozi lake ili kulinda furaha ya watoto wake...
Happy International Men's day to you all! I love & celebrate you 😘

Ila acheni kuficha machozi yenu...mnajilimbikizia hisia hasi ambazo matokeo yake sio mazuri in the long run.

You are not robots!!!It's for owwkey for you guys to not be owwkey sometimes.
 
Wanasema kwamba, when you know that the life of others depend on you, you don't have the right to be afraid....
 
Back
Top Bottom