Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Kwenye uvungu wa moyo kabisaHii imetoka moyoni kweli?? Anyway ngoja nikupe like tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye uvungu wa moyo kabisaHii imetoka moyoni kweli?? Anyway ngoja nikupe like tu
Leo baba apewe yoteKwenye uvungu wa moyo kabisa
Ahsante sana mama. You are also special to me.Happy men's day.....
Happy men's day to my man, bila wewe mimi si kitu baba watoto wangu....
Na hyo mizawadi unaisindikiza na maeneno lukuki...! Akikuudhi lazima ukumbuke boxer 1 vest 1 socks 1...!Yeah, nitamkumbuka tena February 14 huku nikimsapraizi na mizawadi ya kufa mtu, boxa 1 vest 1, na pair 1 ya socks
MmmhNa hyo mizawadi unaisindikiza na maeneno lukuki...! Akikuudhi lazima ukumbuke boxer 1 vest 1 socks 1...!
Babe mama mi sivaagi vest na soksi niletee boxer tu.
Hakuna mwanamke ambae hajui kuappreaciate ukimfanyia caring....labda ulikuwa unamsimanga baada ya kumpa vitu vyako[emoji848]Aisee hii stori yako imenifurahisha sana. Kwani nilishawahi kuwa na mahusiano mwanamke ambaye hajui appreciation wala satisfaction.
Hata ukijitahidi ukamfanyia jambo fulani nzuri yeye ni kulalamika tu.
Unatumia kinywaji gani aisee? Au kama upo kinondoni naombs uje hapa "Brake Point" inatizamana na makaburi ya Kinondoni.
Ubarikiwe sana mkuu.
Wapo wengi sana. Mwanamke ambaye kika kitu ni kulalamika ni ngumu sana kuonesha appreciation.Hakuna mwanamke ambae hajui kuappreaciate ukimfanyia caring....labda ulikuwa unamsimanga baada ya kumpa vitu vyako[emoji848]
😂😂😂😂 Wewe bana aaahAnyway happy men's day...wanaume wenye utamu wenu!
Bila boroo lenu sijui maisha yangekuwaje[emoji848]
Love u all[emoji177][emoji177]
[emoji533][emoji527][emoji15]Anyway happy men's day...wanaume wenye utamu wenu!
Bila boroo lenu sijui maisha yangekuwaje[emoji848]
Love u all[emoji177][emoji177]
Happy International Men's day to you all! I love & celebrate you 😘Mwanaume ni yule anayeficha chozi lake ili kulinda furaha ya watoto wake...
🥂 KwenuKumbe na sisi tuna siku yetu!njooni huku wanaume wenzangu,hata kama hatuna hela inatosha kufarijiana kwa comments tu...
Wanasema kwamba, when you know that the life of others depend on you, you don't have the right to be afraid....Happy International Men's day to you all! I love & celebrate you 😘
Ila acheni kuficha machozi yenu...mnajilimbikizia hisia hasi ambazo matokeo yake sio mazuri in the long run.
You are not robots!!!It's for owwkey for you guys to not be owwkey sometimes.
Wit unataka kuanzisha vita?Hakuna mwanamke ambae hajui kuappreaciate ukimfanyia caring....labda ulikuwa unamsimanga baada ya kumpa vitu vyako[emoji848]
👊My best Video clip ya Baba na Bintiye. Kama una bundle please isikilize
Kivip mkuu[emoji848]Wit unataka kuanzisha vita?
Ukweli lazima usemwe Eve[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wewe bana aaah