Siku kama ya leo mmewarudisha mabeberu (China)
Mh!!!!!!!!?????????????????? Kenya ilipata Uhuru kwenye slum tu ardhi nyingine yote ni Mali ya mkoloni na vibaraka wao akina kenyattaSiku kama ya leo 1963 tulipata uhuru kwa kujikomboa kutoka kwa mabeberu.
Keep dreaming Kenya kupata Uhuru ?? NeverHappy Jamhuri day to all Kenyans.
Kwasababu nyinyi ni vipofu mzungu anawapima kama mmeanza kupata akili lakini anaona bado amjitambui kuwa nyinyi ni koloni lao hadi sasa Kwa kufurahia Uhuru wa slum za kibera.kitu kama mnachofanyiwa nyinyi waliwai kufanyiwa waislamu ,ilikuwa hivi wazungu walienda nchi za waislamu ili kuona nguvu ya uislamu lakini walirudi wakawaambia wenzao kuwa waislamu awana kitu Kwa sababu walisema SIKU AMBAYO WAISLAMU WATAKUWA WENGI MISIKITINI KAMA SIKU YA IJUMAA BASI SIKU HIYO UISLAMU UTAKUWA TISHIO KWAOHivi kwenu mbona sikukuu ya uhuru hukosa ladha, nilikua juzi kwenu hapo yaani siku ya uhuru mumekaa hobela hobela, hamna uzalendo wala nini, kila mtu yupo kwenye mahangaiko ya maisha hata wengine hawakuonekana kujua kama kuna sikukuu.
Kwetu hii siku huwa muhimu sana.
Hivi kwanini yule mchina aliye waiteni nyani mlijivunga kumfukuza ?? Unajua nilikua nasikia hili neno BANANA REPUBLIC SIKUJUA MAANA YAKE kumbe ni NYANI AKO NA NDIZI ndiyo maana mnajita bananaRudi kazini ama uko jobless? Sisi hapa tunamla bata kwa raha zetu.
Kwasababu nyinyi ni vipofu mzungu anawapima kama mmeanza kupata akili lakini anaona bado amjitambui kuwa nyinyi ni koloni lao hadi sasa Kwa kufurahia Uhuru wa slum za kibera.kitu kama mnachofanyiwa nyinyi waliwai kufanyiwa waislamu ,ilikuwa hivi wazungu walienda nchi za waislamu ili kuona nguvu ya uislamu lakini walirudi wakawaambia wenzao kuwa waislamu awana kitu Kwa sababu walisema SIKU AMBAYO WAISLAMU WATAKUWA WENGI MISIKITINI KAMA SIKU YA IJUMAA BASI SIKU HIYO UISLAMU UTAKUWA TISHIO KWAO
Nasikia arufu ya NYANI humu .hivi kupigania Uhuru kote huko mmeambulia ardhi ya slum tu ndiyo Mali ya wakenya halisi ardhi yote iliyo baki siyo Mali yenu very sadThe Mau Mau Freedom War. May our forefathers who gave their lives for our nation Rest In Peace.
The mau mau showed the British settlers that it was not possible to turn Kenya into a settler economy like Zimbabwe.
Geza upo wapi kuna NYANI huku anasherehekea Uhuru wa kibera njoo hupatie ndizi hii ngedereBangi asubuhi hii ya nini bro, unafaa uwe unakunywa na maziwa pia, yaani unatiririka hata sidhani kama wewe mwenyewe umejua nini umekisema, nimeshindwa kusoma andiko lako lote, waislamu wapi na wapi kwa sikukuu za uhuru....
Rudi kazini ama uko jobless? Sisi hapa tunamla bata kwa raha zetu.
Hivi kwenu mbona sikukuu ya uhuru hukosa ladha, nilikua juzi kwenu hapo yaani siku ya uhuru mumekaa hobela hobela, hamna uzalendo wala nini, kila mtu yupo kwenye mahangaiko ya maisha hata wengine hawakuonekana kujua kama kuna sikukuu.
Kwetu hii siku huwa muhimu sana.
Uzalendo wa watanzania haupimwi na siku ya uhuru, ukitaka kujua sisi ni wazelendo kwa kiasi gani gusa nyeti za nchi.
Usidhani huu mpasuko wa vyama unafika hadi kwenye masilahi ya nchi.
Nyie si unajidai ni washika nyeti njooni mshike nyeti zetu basi muone.Nyeti gani hamjaguswa maana nchi mumeliwa na mabepari tangu enzi zile hadi leo hii, juzi rais wenu alikiri gesi ni ya mabepari...sasa nyeti gani nyingine zaidi ya raslimali kuliwa maana mpo na kila kitu ilhali maskini wa kutupwa.
#We are black
Read comment #20.I've just edited it. It's fathomable now.[/QUOTE]Subiri niisome.Kwa sababu ipi?