Happy Jamhuri Day

Happy Jamhuri Day

Siku kama ya leo mmewarudisha mabeberu (China)

Hivi kwenu mbona sikukuu ya uhuru hukosa ladha, nilikua juzi kwenu hapo yaani siku ya uhuru mumekaa hobela hobela, hamna uzalendo wala nini, kila mtu yupo kwenye mahangaiko ya maisha hata wengine hawakuonekana kujua kama kuna sikukuu.

Kwetu hii siku huwa muhimu sana.
 
Kwasababu nyinyi ni vipofu mzungu anawapima kama mmeanza kupata akili lakini anaona bado amjitambui kuwa nyinyi ni koloni lao hadi sasa Kwa kufurahia Uhuru wa slum za kibera.kitu kama mnachofanyiwa nyinyi waliwai kufanyiwa waislamu ,ilikuwa hivi wazungu walienda nchi za waislamu ili kuona nguvu ya uislamu lakini walirudi wakawaambia wenzao kuwa waislamu awana kitu Kwa sababu walisema SIKU AMBAYO WAISLAMU WATAKUWA WENGI MISIKITINI KAMA SIKU YA IJUMAA BASI SIKU HIYO UISLAMU UTAKUWA TISHIO KWAO
 
Rudi kazini ama uko jobless? Sisi hapa tunamla bata kwa raha zetu.
Hivi kwanini yule mchina aliye waiteni nyani mlijivunga kumfukuza ?? Unajua nilikua nasikia hili neno BANANA REPUBLIC SIKUJUA MAANA YAKE kumbe ni NYANI AKO NA NDIZI ndiyo maana mnajita banana
 
Kwasababu nyinyi ni vipofu mzungu anawapima kama mmeanza kupata akili lakini anaona bado amjitambui kuwa nyinyi ni koloni lao hadi sasa Kwa kufurahia Uhuru wa slum za kibera.kitu kama mnachofanyiwa nyinyi waliwai kufanyiwa waislamu ,ilikuwa hivi wazungu walienda nchi za waislamu ili kuona nguvu ya uislamu lakini walirudi wakawaambia wenzao kuwa waislamu awana kitu Kwa sababu walisema SIKU AMBAYO WAISLAMU WATAKUWA WENGI MISIKITINI KAMA SIKU YA IJUMAA BASI SIKU HIYO UISLAMU UTAKUWA TISHIO KWAO

Bangi asubuhi hii ya nini bro, unafaa uwe unakunywa na maziwa pia, yaani unatiririka hata sidhani kama wewe mwenyewe umejua nini umekisema, nimeshindwa kusoma andiko lako lote, waislamu wapi na wapi kwa sikukuu za uhuru....
 
The Mau Mau Freedom War. May our forefathers who gave their lives for our nation Rest In Peace.
The mau mau showed the British settlers that it was not possible to turn Kenya into a settler economy like Zimbabwe.

Nasikia arufu ya NYANI humu .hivi kupigania Uhuru kote huko mmeambulia ardhi ya slum tu ndiyo Mali ya wakenya halisi ardhi yote iliyo baki siyo Mali yenu very sad
 
Bangi asubuhi hii ya nini bro, unafaa uwe unakunywa na maziwa pia, yaani unatiririka hata sidhani kama wewe mwenyewe umejua nini umekisema, nimeshindwa kusoma andiko lako lote, waislamu wapi na wapi kwa sikukuu za uhuru....
Geza upo wapi kuna NYANI huku anasherehekea Uhuru wa kibera njoo hupatie ndizi hii ngedere
 
Uzalendo wa watanzania haupimwi na siku ya uhuru, ukitaka kujua sisi ni wazelendo kwa kiasi gani gusa nyeti za nchi.

Usidhani huu mpasuko wa vyama unafika hadi kwenye masilahi ya nchi.
Hivi kwenu mbona sikukuu ya uhuru hukosa ladha, nilikua juzi kwenu hapo yaani siku ya uhuru mumekaa hobela hobela, hamna uzalendo wala nini, kila mtu yupo kwenye mahangaiko ya maisha hata wengine hawakuonekana kujua kama kuna sikukuu.

Kwetu hii siku huwa muhimu sana.
 
Uzalendo wa watanzania haupimwi na siku ya uhuru, ukitaka kujua sisi ni wazelendo kwa kiasi gani gusa nyeti za nchi.

Usidhani huu mpasuko wa vyama unafika hadi kwenye masilahi ya nchi.

Nyeti gani hamjaguswa maana nchi mumeliwa na mabepari tangu enzi zile hadi leo hii, juzi rais wenu alikiri gesi ni ya mabepari...sasa nyeti gani nyingine zaidi ya raslimali kuliwa maana mpo na kila kitu ilhali maskini wa kutupwa.
 
Nyie si unajidai ni washika nyeti njooni mshike nyeti zetu basi muone.

Halafu huu ni ushamba kulumbana kuhusu umasikini na utajiri wetu, sote ni watu wamoja. Mkenya ni kama Mtanzania na Mtanzania ni kama mkenya.

#We are black
 
Yaani this maafacka jus wakes up to spew his foolishness on this page,na hana aibu
 
Back
Top Bottom