Happy Kenya Defence Force(KDF) day Kenyans

Happy Kenya Defence Force(KDF) day Kenyans

Sherlock

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2018
Posts
1,375
Reaction score
1,362
1571062746720.png
To the soldiers out there… thank you for the risks you take and the sacrifices you make.
 
It's not the critic that count but Credit belongs to the man in the arena .
 
Hii kitu ifutwe wakenya mnapgwa na kdf. Wanataka budget ya serikal tu lakn kazi hamna mule
 
Jeshi ya Wazee wa kuiba ice creams na biskuti west gate
 
Hta ulaji wa albino pia unatakiwa ukumbuke.
Hahahaha, Hawa jamaa kituko mkuu,
Nakumbuka ile siku Al shabaab wamevamia Chuo kule Garisa jamaa walienda na Vifaru[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Ingieni somalia wakombozi wa afrika...ooo!!sorry..nlisahau km jwtz walipigwa mapanga kule congo na watoto wa wadogo..
Si wakiskia kile kishindo cha RPG watazirai hao jamaa
Mafunzo ya mgambo wa Tz ni imara zaidi kuliko hizo kima
Askari wa KDF ni sawa na sungusungu wa ukerewa
 
Mafunzo ya mgambo wa Tz ni imara zaidi kuliko hizo kima
Askari wa KDF ni sawa na sungusungu wa ukerewa
kdf wako light years ahead in terms of training . mkianza kutumia multiple integrated laser engagement system or MILES kufanya mazoezi ya kijeshi unitag.
 
Ingieni somalia wakombozi wa afrika...ooo!!sorry..nlisahau km jwtz walipigwa mapanga kule congo na watoto wa wadogo..
Si wakiskia kile kishindo cha RPG watazirai hao jamaa
KDF =Kima defence force zilipigwa ambush ya nusu saa wakapoteza askari 500 na wavaa kobazi
 
Back
Top Bottom