SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,474
- 10,518
hapana SweetyCandy nilikuwa shopping nakununulia zawadi kwa ajili ya siku hii adhmu kwako mke wangu!
I wish you a mother's day my babe! Si unajua tena nilikuwa lindo la usiku. Nilipitiwa na usingizi mzito mara baada tu ya kutoka huko lindoni.
Watch your back young man! Usimfananishe SweetyCandy na sayuni wako nani sijui yule!hapana SweetyCandy nilikuwa shopping nakununulia zawadi kwa ajili ya siku hii adhmu kwako mke wangu!
Nipo serious naenda kama sintokuona hutokuja inbobo natangaza kuwa natafuta mme rasmi siwezi ishi na mtu anazingua hivi nipo seriousWatch your back young man! Usimfananishe SweetyCandy na sayuni wako nani sijui yule!
Sawa sasa kama unanipenda kitu ambacho niuongo ungeandika tokea asubuhihapana SweetyCandy nilikuwa shopping nakununulia zawadi kwa ajili ya siku hii adhmu kwako mke wangu!
santee na Mungu aendelee kuwatunza ili mzidi kututunza na sie
Asanteeeeee😍😍😍😍
Wala hatuukatai mchango wao mkubwa, ila hii ni siku ya "mama" ikifika ya "baba" tunawapa maua yao pia kama kawaida.Akina baba wanafanya kazi kubwa sana hapa duniani. Kuwatunza wamama na watoto. Heko wanaume wote wawajibikaji.