Happy Mothers Day!!

Zuriel_cfc

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Posts
4,092
Reaction score
9,063
Happy mothers day kwa wamama na wanawake wote ulimwenguni!!

Dear my Sweet Mother from heaven, najua sikupata nafasi ya kukushukuru kwa kunileta duniani (ulinitoka nikiwa mdogo sana) lakini napenda kuchukua nafasi hii kukushukuru mama. Asante kwa kunileta duniani mama yangu, sasa nimekuwa mkubwa, ninajitambua na ninatambua umuhimu wa kuwa na mama duniani. Natambua thamani yako kwangu, natambua maisha bila mama hapa duniani ni mtihani sana...

But through it all, i still survive, i even managed to be a mother [emoji1]. Nakuhaidi sitakuangusha, nitakuwa mama bora kwa wajukuu zako na naamini unajivunia kila ukiniangalia kutoka juu.

Heri ya siku ya mama duniani kwa wamama wote, na waliopoteza mama zao kama mimi, Mungu awajalie pumziko la milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…