Happy Mothers Day!!

Mama mpendwa,
Pole na Hongera kwa kazi ya malezi kwa watoto wako 6.

Ulivumilia mengi na ya kukuumiza kutoka kwa watoto wako na kwa mumewe ambaye ni baba,hasa alipokwenda mbali masomoni nawe hukuwa na kazi.

Mungu akupe maisha mema na mwisho mwema uendelee kufuata haki na kweli ya Yesu Kristo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…