The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Dada kwema? Habari za siku?Kwani wewe huna mama? Awe hai au awe ameishamwitika manani bado kwetu ni mama tu wote ni wa kuwaombea Dua, kumbuka hata mama wa watoto wako Ni mama japo wewe humwiti mama