Happy Mothers Day!!

Happy Mothers Day!!

Happy mothers day kwa wamama na wanawake wote ulimwenguni!!

Dear my Sweet Mother from heaven, najua sikupata nafasi ya kukushukuru kwa kunileta duniani (ulinitoka nikiwa mdogo sana) lakini napenda kuchukua nafasi hii kukushukuru mama. Asante kwa kunileta duniani mama yangu, sasa nimekuwa mkubwa, ninajitambua na ninatambua umuhimu wa kuwa na mama duniani. Natambua thamani yako kwangu, natambua maisha bila mama hapa duniani ni mtihani sana...

But through it all, i still survive, i even managed to be a mother [emoji1]. Nakuhaidi sitakuangusha, nitakuwa mama bora kwa wajukuu zako na naamini unajivunia kila ukiniangalia kutoka juu.

Heri ya siku ya mama duniani kwa wamama wote, na waliopoteza mama zao kama mimi, Mungu awajalie pumziko la milele.View attachment 776035
This song serves the purpose for my late mamaView attachment Phone In Heaven 2 _ lyric - Mike Manuel ( 180 X 320 ).3gp
 
Back
Top Bottom