Nebuchadinezzer JF-Expert Member Joined Oct 1, 2018 Posts 1,403 Reaction score 2,546 May 9, 2021 #1 Niwatakie kila la kheri wamama wote wa JF Mungu awaongoze mlee watoto wenu katika maadili mema mkiongozwa na maandiko matakatifu katika dini zenu.
Niwatakie kila la kheri wamama wote wa JF Mungu awaongoze mlee watoto wenu katika maadili mema mkiongozwa na maandiko matakatifu katika dini zenu.
mkabasia JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 2,966 Reaction score 2,634 May 9, 2021 #2 Asante ndugu.
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,119 May 9, 2021 #4 Ngoja waje mkuu.