Happy New Month

Happy New Month

Sheillah Sheillah

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2020
Posts
653
Reaction score
1,698
Habari.

Huu mwaka unaisha bila kujua unaishije. Bado nahisi kama mwezi wa 3 ulikuwa juzi tu. Lakini sasa hivi ni mwezi wa nane na hakuna cha maana nilichofanya kati ya vyote nilivyojiapiza kuvifanya mwaka huu

Happy new month wakuu japo ni kwa kuchelewa. Kwa wale ambao malengo yetu hayajatimia Mungu atujalie tutimize japo baadhi.

Unaweza pia kumwish umpendaye.
 
Back
Top Bottom