Happy new year and happy birthday (jiwe)

Sijui nilikuwa wapi sikumuona stone alipokuwa ana-laid corners-tone! Sijilaumu sana kwani mtoto mwenyewe kaweka bandiko hili kiaina kwenye heading na muda wenyewe ni baada ya saa 8 mchana! Hivyo vikwazo havinizuilii kuitimiza azma hii: H.B. Jiwe!!!!

hahahah shukrani mkuu, nilisoma alama za nyakati nikajua wakati ukuta nikaamua kulibandika kabisa nikasepa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…