kante mp2025
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 631
- 1,192
Jobless leo nimewakuta nawawaza sana hawa Mzena hospital.
Hivi hawa wakuu wanatumia utaratibu gani kupata wafanyakazi wao nimekuwa nikitamani sana kufanya kazi kwenye hii hospitali lakini sijawahi yaona kabisa matangazo yao ya kazi.
Kwa anayejua Mzena wanatumia utaratibu gani kuajiri wataalamu wa afya naomba anijuze nitume maombi yangu asee au mwenye email yao anisaidie nitume cv zangu
Natanguliza shukrani