Happy New Year Mzena Hospital

Happy New Year Mzena Hospital

kante mp2025

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2022
Posts
631
Reaction score
1,192
Jobless leo nimewakuta nawawaza sana hawa Mzena hospital.

Hivi hawa wakuu wanatumia utaratibu gani kupata wafanyakazi wao nimekuwa nikitamani sana kufanya kazi kwenye hii hospitali lakini sijawahi yaona kabisa matangazo yao ya kazi.

Kwa anayejua Mzena wanatumia utaratibu gani kuajiri wataalamu wa afya naomba anijuze nitume maombi yangu asee au mwenye email yao anisaidie nitume cv zangu

Natanguliza shukrani
 
Vaa kaunda...

..Ni hayo tu!!
 
Nenda pale kwenye Makaburi wanapochomea Banian usiku wa manane na CV yako, barua na viambatanishi vya vyeti vyako na nyaraka zako muhimu . utapata KAZI nzuri kabisa hospitalini Mzena
 
Back
Top Bottom