Happy New Year Mzena Hospital

Kwani wewe ni Dr? Mtafute Prof Janabi akupe maelekezo
 
Emilio Mzena specialist wake wengi wanatoka Muhimbili na 2/10 ya ma Dr wa Muhimbili ni waajiriwa wa lile jengo pale bongoyo .
 
Kwani kuna hosp inaitwa Mzena hapa nchini TUANZIE HAPO. kama ipo huko Congo Drc labda waulize M23
 
Kama upo Muhimbili, JKCI au Ocean road na umebobea ( specialist) unaweza ukawa unafanya kazi na kupata majukumu Mzena.

Jipange na maisha yako achana na ndoto za alinacha na kutamani tamani. Ukiwa best na smart popote pale uta shine na watu watakufuata na kukutafuta.
 
Asante kwa ushauri ndugu nimeupokea
 
Wewe unasumbuliwa na fantasies za neno "usalama wa Taifa" ila sikushangai sana kwa maana hata mimi nilikuwa kama wewe mwaka 2016 kurudi nyuma.

Ujana/utoto una mambo mengi sana..
 
Natamani kuwa sehemu ya team ya Mzena hospital hilo tu, ni hospitali naipenda sana kwa kweli
Unaipenda vp taasisi ambayo haujawahi kuifanyia kazi?? Wewe unasumbuliwa na fantasies kama vijana wengi wa rika lako..
 
Wewe unasumbuliwa na fantasies za neno "usalama wa Taifa" ila sikushangai sana kwa maana hata mimi nilikuwa kama wewe mwaka 2016 kurudi nyuma.

Ujana/utoto una mambo mengi sana.

Wewe unasumbuliwa na fantasies za neno "usalama wa Taifa" ila sikushangai sana kwa maana hata mimi nilikuwa kama wewe mwaka 2016 kurudi nyuma.

Ujana/utoto una mambo mengi sana..
Nimekuelewa mkuu, Asante
 
Unaipenda vp taasisi ambayo haujawahi kuifanyia kazi?? Wewe unasumbuliwa na fantasies kama vijana wengi wa rika lako..
Yawezekana upo sahihi mkuu mimi sikupingi, Zaidi naendelea kujifunza jobless huwa tunawaza mambo mengi sana hilo lilikuwa moja ya jambo nililoliwaza jobless.No offense
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…