kante mp2025
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 631
- 1,192
- Thread starter
- #21
DaahTulia Hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DaahTulia Hapo
Nipo tayari kufanyiwa mchujo kaka ni mtanzania safi sina waaHospitali ya usalama hiyo. Huingii pale kifala fala tu lazima uchujwe kama ni makapi au raw materials.
Daah unanikatisha tamaa ndugu yangu.Babu au Babaako amewahi kuwa mtu wa kaunda suti? kama huna ndugu wa karibu aliyewahi kuwa mtu 🦷 sahau
Jobless leo nimewakuta nawawaza sana hawa Mzena hospital.
Hivi hawa wakuu wanatumia utaratibu gani kupata wafanyakazi wao nimekuwa nikitamani sana kufanya kazi kwenye hii hospitali lakini sijawahi yaona kabisa matangazo yao ya kazi.
Kwa anayejua Mzena wanatumia utaratibu gani kuajiri wataalamu wa afya naomba anijuze nitume maombi yangu asee au mwenye email yao anisaidie nitume cv zangu
Natanguliza shukrani
Mkuu mimi sio muhusika kwa loloteNipo tayari kufanyiwa mchujo kaka ni mtanzania safi sina waa
Hapana ndugu yanguNyoko tumekushutukia unataka utumalize viongozi
Asante kwa ushauri ndugu nimeupokeaKama upo Muhimbili, JKCI au Ocean road na umebobea ( specialist) unaweza ukawa unafanya kazi na kupata majukumu Mzena.
Jipange na maisha yako achana na ndoto za alinacha na kutamani tamani. Ukiwa best na smart popote pale uta shine na watu watakufuata na kukutafuta.
hapana mimi ni mtaalamu wa maabaraKwani wewe ni Dr? Mtafute Prof Janabi akupe maelekezo
Asante kwa taarifa nduguEmilio Mzena specialist wake wengi wanatoka Muhimbili na 2/10 ya ma Dr wa Muhimbili ni waajiriwa wa lile jengo pale bongoyo .
Wewe unasumbuliwa na fantasies za neno "usalama wa Taifa" ila sikushangai sana kwa maana hata mimi nilikuwa kama wewe mwaka 2016 kurudi nyuma.Jobless leo nimewakuta nawawaza sana hawa Mzena hospital.
Hivi hawa wakuu wanatumia utaratibu gani kupata wafanyakazi wao nimekuwa nikitamani sana kufanya kazi kwenye hii hospitali lakini sijawahi yaona kabisa matangazo yao ya kazi.
Kwa anayejua Mzena wanatumia utaratibu gani kuajiri wataalamu wa afya naomba anijuze nitume maombi yangu asee au mwenye email yao anisaidie nitume cv zangu
Natanguliza shukrani
Unaipenda vp taasisi ambayo haujawahi kuifanyia kazi?? Wewe unasumbuliwa na fantasies kama vijana wengi wa rika lako..Natamani kuwa sehemu ya team ya Mzena hospital hilo tu, ni hospitali naipenda sana kwa kweli
Wewe unasumbuliwa na fantasies za neno "usalama wa Taifa" ila sikushangai sana kwa maana hata mimi nilikuwa kama wewe mwaka 2016 kurudi nyuma.
Ujana/utoto una mambo mengi sana.
Nimekuelewa mkuu, AsanteWewe unasumbuliwa na fantasies za neno "usalama wa Taifa" ila sikushangai sana kwa maana hata mimi nilikuwa kama wewe mwaka 2016 kurudi nyuma.
Ujana/utoto una mambo mengi sana..
Yawezekana upo sahihi mkuu mimi sikupingi, Zaidi naendelea kujifunza jobless huwa tunawaza mambo mengi sana hilo lilikuwa moja ya jambo nililoliwaza jobless.No offenseUnaipenda vp taasisi ambayo haujawahi kuifanyia kazi?? Wewe unasumbuliwa na fantasies kama vijana wengi wa rika lako..
Asante