Happy sabbath, Dini ya kweli ni sabato

Happy sabbath, Dini ya kweli ni sabato

Surah Al-Baqarah (2:65) states:

"And you had already known about those among you who violated the Sabbath, and We said to them, 'Be apes, despised.'"

Context of this verse:
This verse refers to a group of people among the Children of Israel (Bani Isra'il) who disobeyed the command of Allah regarding the Sabbath. Allah had ordered them to rest and refrain from working on the Sabbath (Saturday), but some of them violated this command. The story describes how, when they disobeyed, Allah punished them by transforming them into apes as a punishment for their disobedience and rebellion against His command. This serves as a reminder of the consequences of not following God's commandments and the seriousness of violating His rules.

Key Message:
This verse emphasizes the importance of obeying God's commands, as failure to do so results in punishment and negative consequences. It also serves as a warning to others to learn from the mistakes of those who disobeyed Allah in the past.


Waebrania 4:10
Maana, kila aingiaye mahali pa pumziko la Mungu atapumzika kutoka katika kazi yake kama vile pia Mungu alivyopumzika kutoka kazi yake.

BHN: Biblia Habari Njema
Mbona hayo ni mafundisho ya Agano la Kale? Mbona kuna sheria nyingi tu za Agano la Kale hamzishiki mnashika sheria ya Sabato tu?
 
Kwa
Dini pekee iliyo bora mbele za Mungu ni ile inayowajali wajane na yatima katika dhiki zao.

Mungu mmoja, Dini moja, Ubatizo mmoja.

"Ikumbuke siku ya sabato na uitakase, siku sita fanya kazi zako zote.."

Kama siku ya sabato unastarehe na hukufanya kazi siku sita unajidanganya

...Usifanye kazi wewe, wala mwana wako, wala mnyama wako, wala mjakazi wako, wala mgeni alie ndani ya malango yako.

Kama unaenda kanisani huku umeacha mgeni nyumbani, mwanao,housegirl anafanya kazi unajidanganya.

Kama unafanya dhambi zako, sabato ndio unajifanya mtakatifu unajidanganya. Mungu hadhihakiwi.

Nawakumbusha, siwahukumu badilikeni.
Msiabudu na kuiogopa siku, Mwabuduni Mwenyezi Mungu.

Wakolosai 2:16
Basi mtu asiwahukumu ninyi kwa vyakula,vinywaji,sikukuu,mwandamo wa mwezi au SABATO
Kwanini kwenye wajane hakuna kuwajali wagane? Au wanaume wakifiwa hawana haki? Hayo maanndiko niyakibaguuzi yanabagua syo yakuzngaatia
 
Ni mwendo wa makande tu nmpaka kesho jioni.

Nani apike,Makande ni chakula cha wasabato
 
Kwa

Kwanini kwenye wajane hakuna kuwajali wagane? Au wanaume wakifiwa hawana haki? Hayo maanndiko niyakibaguuzi yanabagua syo yakuzngaatia
waandishi walikuwa mbele ya muda, maana sahivi wanaume wanakufa sana wanaacha wake zao.
 
Nikikuambia jumapili ni sabato usibishe na usilete habari za mfalme wa rumi. Sidhani kama maandiko ya biblia unayajua vema na tafsiri zake
Nitafutie msitari wowote kwenye Biblia wenye neno jumamosi na unatamka.kuwa sabato ni jumamosi

Usilete mambo ya matabu ya kuokota jalalsni ya sijui mfalme wa Rumi nataka jibu toka kwenye Biblia tu.Neno Jumamosi liko wapi .Na wapi Mungu alitamka kuwa siku ya sabato ni Jumamosi

Usilete porojo .onyesha neno Jumamosi lilipo kwenye Biblia
 
Back
Top Bottom