Happy sabbath, Dini ya kweli ni sabato

Mbona hayo ni mafundisho ya Agano la Kale? Mbona kuna sheria nyingi tu za Agano la Kale hamzishiki mnashika sheria ya Sabato tu?
 
Kwa
Kwanini kwenye wajane hakuna kuwajali wagane? Au wanaume wakifiwa hawana haki? Hayo maanndiko niyakibaguuzi yanabagua syo yakuzngaatia
 
Ni mwendo wa makande tu nmpaka kesho jioni.

Nani apike,Makande ni chakula cha wasabato
 
Kwa

Kwanini kwenye wajane hakuna kuwajali wagane? Au wanaume wakifiwa hawana haki? Hayo maanndiko niyakibaguuzi yanabagua syo yakuzngaatia
waandishi walikuwa mbele ya muda, maana sahivi wanaume wanakufa sana wanaacha wake zao.
 
Nikikuambia jumapili ni sabato usibishe na usilete habari za mfalme wa rumi. Sidhani kama maandiko ya biblia unayajua vema na tafsiri zake
Nitafutie msitari wowote kwenye Biblia wenye neno jumamosi na unatamka.kuwa sabato ni jumamosi

Usilete mambo ya matabu ya kuokota jalalsni ya sijui mfalme wa Rumi nataka jibu toka kwenye Biblia tu.Neno Jumamosi liko wapi .Na wapi Mungu alitamka kuwa siku ya sabato ni Jumamosi

Usilete porojo .onyesha neno Jumamosi lilipo kwenye Biblia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…