3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Kutokuelewa kwako maandiko kusikufanye useme kinyume na neno maandiko yanasema Yesu hakuwahi kutenda dhambi yoyote iweje wewe useme kinyume maana kusema aliivunja sabato ni kukiri wazi Yesu alitenda dhambi kwa kuihalifu amri yake mwenyewe amri ya nneMataifa Mimi siwajui katika muktadha huu, ila ninachojua ni kuwa wayahudi ndio waliomuua Yesu sababu mojawapo alivunja Sabato na sisi wafuasi wa Yesu hujitahidi sana kufuata nyayo zake
Wakati luka 4:16 inasema wazi ilikuwa kawaida au desturi yake kuitunza sabato na zaidi kwenda hekaluni kuabudu siku hiyo.
Shida yako huyajui maandiko na badala ya kufuata kile Yesu alichofundisha kuhusu sabato wewe unachukua uelewa wa mafarisayo na masadukayo kuhusu sabato na jinsi walivyoona kwa yale aliyotenda aliivunja sabato wakati yeye alikuwa aliwafundisha namna ya kuitunza hiyo sabato kwa namna ilivyokusudiwa