GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿 umeitendea haki nchi yetu Tanganyika❤❤❤Japo sikuwa nimezaliwa, lakini kupitia vitabu nimefahamu kuwa tarehe kama ya leo ndiyo siku nchi yetu ya Tanganyika ilipata uhuru toka kwa mkoloni mweupe!
Kwa furaha kabisa nawatakia Watanganyika wote heri ya siku ya uhuru wa nchi yetu ya Tanganyika!
Happy Tanganyika Day!!!
NATAMANI KILA MTU AJIITE MTANGANYIKA NA SI MTANZANIA. MAANA NDANI YA TANZANIA TANGANYIKA IMEUWAWAJapo sikuwa nimezaliwa, lakini kupitia vitabu nimefahamu kuwa tarehe kama ya leo ndiyo siku nchi yetu ya Tanganyika ilipata uhuru toka kwa mkoloni mweupe!
Kwa furaha kabisa nawatakia Watanganyika wote heri ya siku ya uhuru wa nchi yetu ya Tanganyika!
Happy Tanganyika Day!!!