Happy Tanganyika Day!

Happy Tanganyika Day!

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Japo sikuwa nimezaliwa, lakini kupitia vitabu nimefahamu kuwa tarehe kama ya leo ndiyo siku nchi yetu ya Tanganyika ilipata uhuru toka kwa mkoloni mweupe!

Kwa furaha kabisa nawatakia Watanganyika wote heri ya siku ya uhuru wa nchi yetu ya Tanganyika!

Happy Tanganyika Day!!!
 
💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿 umeitendea haki nchi yetu Tanganyika❤❤❤
 
Tanganyika iz ded but zanzibar stil alive. They killed Tanganyika. Hakuna sherehe za uhuru tena kuna sherehe za mapinduzi tu sasa hapo kuna nchi ya tanganyika tena? Hata ukiandika hawajali maana wamefanya hivo makusudi
 
Japo sikuwa nimezaliwa, lakini kupitia vitabu nimefahamu kuwa tarehe kama ya leo ndiyo siku nchi yetu ya Tanganyika ilipata uhuru toka kwa mkoloni mweupe!

Kwa furaha kabisa nawatakia Watanganyika wote heri ya siku ya uhuru wa nchi yetu ya Tanganyika!

Happy Tanganyika Day!!!
NATAMANI KILA MTU AJIITE MTANGANYIKA NA SI MTANZANIA. MAANA NDANI YA TANZANIA TANGANYIKA IMEUWAWA
 
Back
Top Bottom