Happy valentine Wana JF

Happy valentine Wana JF

.
IMG_20250214_195402.jpg
 
Naona viwanja vya pande zote mbili zimenyolewa kwa ajili ya mechi.

Baada ya siku tatu kiwanja kitaanza kuota vipele na kuanza kujikuna [emoji23]

Baada ya wiki mtaanza kuona usaha kwenye viwanja vyenu [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Jaman ni Muda watu Leo, zawadi mtoe mpaka kielewek ila vyote kwa vyote heri ya siku ya wapendanao

Tuendelee kuwapenda wanaotujali hasa wazazi wetu na watu wa karibu
😍😍💃🏾💃🏾
Remember all you Protestants and athiest while you're celebrating Saint Valentines day you're celebrating a CATHOLIC PRIEST who was a martyr for the CATHOLIC CHURCH.

THANK YOU FOR YOUR SUPPORT! 😆
 
Remember all you Protestants and athiest while you're celebrating Saint Valentines day you're celebrating a CATHOLIC PRIEST who was a martyr for the CATHOLIC CHURCH.

THANK YOU FOR YOUR SUPPORT! 😆
Jaman eh ndo utuharibie siku tunajua ila tunakausha
 
Back
Top Bottom