Upendo mzuri na wa kuvutia ni ule mtu anakuja live kukuambia "janelle nakupenda ", huu wa kwako wa juu juu hata sio!Khee sasa upendo wa namna gani tena, we jua unapendwa na sisi wote๐๐ผ
I wish you were my valentine Numbisa,Nice. U too
ntakubonda, muache bibi yangu.Dah! Nafanana na bibi yako?
Njoo uonentakubonda, muache bibi yangu.
tuma picha tuone mkuu.
Jiheshimu mdogo wangujeusi, jeupe? lina madoadoa halina? michirizi je? lina mabuja?
embu tuone...
Vaa kanga moko, nikija sitaki kuhangaika.Njoo uone
Akija nitamkata masikio yakeNjoo uone
Unasikia faraja mwenyewe na hivi kila demu hakutakiVaa kanga moko, nikija sitaki kuhangaika.
we acha tu๐คฃUnasikia faraja mwenyewe na hivi kila demu hakutaki
tuone na hilo lako jeupe.๐๐ Kunawatu akili zenu bwana
Moyo Wangu Umeripuka kwa Shangwe na Furaha sana My Lovely ephen wangu kipenzi cha โค๏ธ wangu.Happy Valentine's day Lucas Mwashambwa nipe location nikutumie mazagazaga.
Napenda mwandiko wako, unaandika vizuri.Moyo Wangu Umeripuka kwa Shangwe na Furaha sana My Lovely ephen wangu kipenzi cha โค๏ธ wangu.
Leo lazima yule chizi Chief Priest Anywe Sumu kavu bila kuchanganya hata na Maji.