ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Upendo mzuri na wa kuvutia ni ule mtu anakuja live kukuambia "janelle nakupenda ", huu wa kwako wa juu juu hata sio!Khee sasa upendo wa namna gani tena, we jua unapendwa na sisi wote👋🏼
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upendo mzuri na wa kuvutia ni ule mtu anakuja live kukuambia "janelle nakupenda ", huu wa kwako wa juu juu hata sio!Khee sasa upendo wa namna gani tena, we jua unapendwa na sisi wote👋🏼
I wish you were my valentine Numbisa,Nice. U too
ntakubonda, muache bibi yangu.Dah! Nafanana na bibi yako?
Njoo uonentakubonda, muache bibi yangu.
tuma picha tuone mkuu.
Jiheshimu mdogo wangujeusi, jeupe? lina madoadoa halina? michirizi je? lina mabuja?
embu tuone...
Vaa kanga moko, nikija sitaki kuhangaika.Njoo uone
Akija nitamkata masikio yakeNjoo uone
Unasikia faraja mwenyewe na hivi kila demu hakutakiVaa kanga moko, nikija sitaki kuhangaika.
we acha tu🤣Unasikia faraja mwenyewe na hivi kila demu hakutaki
tuone na hilo lako jeupe.😂😂 Kunawatu akili zenu bwana
Moyo Wangu Umeripuka kwa Shangwe na Furaha sana My Lovely ephen wangu kipenzi cha ❤️ wangu.Happy Valentine's day Lucas Mwashambwa nipe location nikutumie mazagazaga.
Napenda mwandiko wako, unaandika vizuri.Moyo Wangu Umeripuka kwa Shangwe na Furaha sana My Lovely ephen wangu kipenzi cha ❤️ wangu.
Leo lazima yule chizi Chief Priest Anywe Sumu kavu bila kuchanganya hata na Maji.