Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Mimi napenda kila kitu kutoka kwako. Kiufupi nakupenda wote wote kama ulivyo.Napenda mwandiko wako, unaandika vizuri.
Asante sana Lucas😍Mimi napenda kila kitu kutoka kwako. Kiufupi nakupenda wote wote kama ulivyo.
Happy valentine day
Na hapo bado hajabubujikwa na machozi. Mungu Alidumishe penzi lenu. You guys have a bright future maana ni suala la muda tu mzee atalamba uteuzi (kama bado). Congratulations!Napenda mwandiko wako, unaandika vizuri.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Na hapo bado hajabubujikwa na machozi. Mungu Alidumishe penzi lenu. You guys have a bright future maana ni suala la muda tu mzee atalamba uteuzi. Congratulations!
Happy VdayHappy valentine's too!!
[emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Thanks mzee wa hall V, mambo yanasemaje huko?Happy Vday