Happy Valentine's day ...from Babu DC.

Happy Valentine's day ...from Babu DC.

Babu na wewe pia! Hebu msuprise bibi mwaka huu bana!
 
Happy Valentine to you too Dear Babu DC and all Jamii Forums Member!!!
 
hivi dark city ni male?

Mhhhh, TB...una nini na babu? Kwani huwa anaonekana mtata?

Naam Mkuu DC ni njemba.

Asante sana Mkuu BAK, umenisaidia sana kumweleza TB kwamba huyu jamaa ni babu, tena alikuwa dume la mbegu. Ana wajukuu kibao na sasa amestaafu. Ni retired Maj. Gen Babu DC (1947).

na mimi naona leo

but kuna thread huko nyuma ali apear kama female...so nashangaa

Ipi hiyo tena ndugu yangu? Mbona Babu DC hana controversial character au umechanganya madesa?
 
Babu na wewe pia! Hebu msuprise bibi mwaka huu bana!

Mhhhhh..Asante sana Kimey,

Bibi kachukua likizo na babu yuko hoi hajui la kufanya. Nadhani hii itakuwa Valentine ya hovyo sana kwa Babu! Hata hivyo wajukuu watampa shavu!
 
Happy Valentine to you too Dear Babu DC and all Jamii Forums Member!!!

Ahsate sana Desidii,

Mbona umepotea hivyo au ulikuwa unaandaa majeshi kwa ajili ya Valentine's day!

Nakututakia siku kuu njema.

Ukiwaona AD, DA, Maty, The Finest na wajukuu wengine wasalimie sana. Wambie babu ni mzima. Karibia anamalizana na mraba wa bwana mkubwa. He is really coming back soon!!
 
Alafu bora hata nisingekumbushwa kwasababu sina mpango nayo so bora ingepita niseme nilisahau!

Kumbe siyo kwamba ulikuwa umesahau bali huna tima na haya mashokolo (mambo) ya kithungu?

Aibu gani tena babu?

Kama huna time basi hakuna aibu. Mim nilidhani ni yale mambo ya kusahau birthday ya bibi au babu!
 
Kumbe siyo kwamba ulikuwa umesahau bali huna tima na haya mashokolo (mambo) ya kithungu?

Kama huna time basi hakuna aibu. Mim nilidhani ni yale mambo ya kusahau birthday ya bibi au babu!

Inasahaulika kwasababu haina umuhimu babu!!!:coffee:
 
Back
Top Bottom