Ahsate sana Desidii,
Mbona umepotea hivyo au ulikuwa unaandaa majeshi kwa ajili ya Valentine's day!
Nakututakia siku kuu njema.
Ukiwaona AD, DA, Maty, The Finest na wajukuu wengine wasalimie sana. Wambie babu ni mzima. Karibia anamalizana na mraba wa bwana mkubwa. He is really coming back soon!!
You too Babu DC have a wonderful Valentine Day
Mbu wherever you are mydia,, Happy Valentine.
Happy Valentine to all of YOU people
Babu DC ukinionea mjukuu wako WiseLady mwambie namtakia Happy Valentine!
Sawa. Ila DA aliaga sijui alisafiri au alikwenda wapi! AD kala BAN, Finest sijui yuko wapi sijui ila salamu watazipata. Enjoy na Bibi usiende nje umesikia??
Retired Maj Gen DC (1947)
Babu DC ukinionea mjukuu wako WiseLady mwambie namtakia Happy Valentine!
You too Babu DC have a wonderful Valentine Day
Mbu wherever you are mydia,, Happy Valentine.
Happy Valentine to all of YOU people
Hii ni sawa na babu atafikisha ujumbe....mwanzoni nilidhani unamtaka babu amweleze kuwa unamwita kwa ajili ya kushereheka...hapo ingebidi awe mbayu wayu! But this is cool!
Shikamoo Babu sijafichwa ila ni majukumu ya hapa na pale ila salamu zako nyingi tu kutoka kwa mjukuu wako AD.Ahsante my boy...
Hivi ulikuwa umejificha/fichwa wapi na wewe?
HAPPY VALENTINES TO DESIDII, MWANAJAMIIONE, MATY, LD, MTM, ASPRIN, ASKOFU, BIGIRITA, FIDEL80, FIRSTLADY, FIRSTLADY1, GY, TEAMO, JS, KAIZER, KIMEY, WISELADY, PAKAJIMMY, LILY FLOWER, LONER, PRETA, ROSE1980, ST.R.R, NGULI JABALI, MICHELLE, HUSNINYO, HASHYCOOL, LIZZY, KATAVI, MOHAMMED SHOSSI, NILHAM, DENA AMSI, AD, MARIA ROZA, VOR, MBU, SHANTEL, SMILES, DERIMTO, FREETOWN, SAHARAVOICE, UPOROTO01, KLOROKWIN na wengineo wote kama nimewasahau majina yenu naomba mniwie radhi
Halafu mbona unataka kuharibu Valentines ya leo unajua sina partner halafu was thinking about you.Thanx my ex nilikuwa naandaa kitanzi kwa kuzikosa salam zako
Halafu mbona unataka kuharibu Valentines ya leo unajua sina partner halafu was thinking about you.
Will let you know at what time we will be going for dinner.Me too honey sina partner, thanx to Jf imesave ma day mwaaahhhh
Have a lovely one DC and all members wa jamvi hili tukufu.