Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Mda uho wew utakuwepo?kwa hali kama hii CCM itaendelea kukaa madaraka mpaka 2100! Hakyanani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mda uho wew utakuwepo?kwa hali kama hii CCM itaendelea kukaa madaraka mpaka 2100! Hakyanani.
inshaallah nitakuwepo mkuu.Mda uho wew utakuwepo?
inshaallah nitakuwepo mkuu.Mda uho wew utakuwepo?
Kwa wema upi ulio nao wakufika uko? 😂inshaallah nitakuwepo mkuu.
kwa miaka 17 niliyonayo sasa kufikia mwaka 2100 nitakuwa na miaka kama 91 InshaallahKwa wema upi ulio nao wakufika uko?
Yes malkia wangu, happy valentine to u 😘Babe wangu Half american
ambao tupo online mpaka mida hii ndio tupo single sasa kwa asilimia kubwa tunapoteza mawazo hapa jfYes malkia wangu, happy valentine to u 😘
siungi mkono hoja na sipingi vilevile.ambao tupo online mpaka mida hii ndio tupo single sasa kwa asilimia kubwa tunapoteza mawazo hapa jf
japo sio wote mkuu ni kama kwa asilimia 99% wewe kama unapinga basi ndio huyo asilimia 1% asiyepo single alafu yupo online mpaka sahizisiungi mkono hoja na sipingi vilevile.
ni maamuzi tu mkuujapo sio wote mkuu ni kama kwa asilimia 99% wewe kama unapinga basi ndio huyo asilimia 1% asiyepo single alafu yupo online mpaka sahizi
yeahni maamuzi tu mkuu
hapo sasa nimeelewa jibu lako kwanini ni yes no very smart mkuuni maamuzi tu mkuu