Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Mda uho wew utakuwepo?kwa hali kama hii CCM itaendelea kukaa madaraka mpaka 2100! Hakyanani.
inshaallah nitakuwepo mkuu.Mda uho wew utakuwepo?
inshaallah nitakuwepo mkuu.Mda uho wew utakuwepo?
Kwa wema upi ulio nao wakufika uko? πinshaallah nitakuwepo mkuu.
kwa miaka 17 niliyonayo sasa kufikia mwaka 2100 nitakuwa na miaka kama 91 InshaallahKwa wema upi ulio nao wakufika uko?
Yes malkia wangu, happy valentine to u πBabe wangu Half american
ambao tupo online mpaka mida hii ndio tupo single sasa kwa asilimia kubwa tunapoteza mawazo hapa jfYes malkia wangu, happy valentine to u π
siungi mkono hoja na sipingi vilevile.ambao tupo online mpaka mida hii ndio tupo single sasa kwa asilimia kubwa tunapoteza mawazo hapa jf
japo sio wote mkuu ni kama kwa asilimia 99% wewe kama unapinga basi ndio huyo asilimia 1% asiyepo single alafu yupo online mpaka sahizisiungi mkono hoja na sipingi vilevile.
ni maamuzi tu mkuujapo sio wote mkuu ni kama kwa asilimia 99% wewe kama unapinga basi ndio huyo asilimia 1% asiyepo single alafu yupo online mpaka sahizi
yeahni maamuzi tu mkuu
hapo sasa nimeelewa jibu lako kwanini ni yes no very smart mkuuni maamuzi tu mkuu
Zimefika japo kwa kuchelewa.Hqppy Valentine day mshamba_hachekwi π€