Happy Valentine's in advance dear

Happy Valentine's in advance dear

Ukikaushiwa na mwenzako siku siku ya Valentine maana yake nini?! πŸ˜…

Unamuona muda mrefu sana Online ukilalamika kwamba hakupi time anakwambia "una mashaka sana... kwahiyo nisichat?! Nisijibu message?! Nisitazame message za group?! Nisiangalie status?! Nikachoka na kuchoka... mpaka leo Hohehahe sijatafutwa na mara ya mwisho nilitumiwa voice-note "usilalamike vitu vya kijingajinga... sijui sipokei simu, sijui sijibu message... kama unaona nini niache! Sijakulazimisha"

Na mpaka leo hii kimya! Wanangu naota au ndo safari na mziki?!

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ‘πŸΎ
 
Back
Top Bottom