Wanawake wa nguvu humu Jamiiforums kwa upande wangu.
leo dada, Dada/Mwanamke usiye na michecheto na heka heka nyiingi nakupa πππ yako
Binti wa zamani Dada Wane nakupa compliments zangu nyiingi, ni mtu mcheshi , unayechangamsha sana humu jukwaani, kitu ambacho wengi hawakijui wewe ni mtu mwenye akili nyingi sana πππ mwema na huruma nyingi mnooo β€οΈβ€οΈβ€οΈ
Aaliyyah Dada /Mwanamke mwenye huruma na upole mwingi, japo siku hizi Harakati za jikoni zimepungua ni Mwanamke bora sana. Maisha yako yawe na heri nyingi na Mwenyezi Mungu akunyooshee mambo yako kama vile ulivyo wewe mwenyewe na unyoofu wa moyo wako.
Cute Wife ni Mwanamke bora sana kwa upande wangu hasa katika kutuletea habari na matukio motomoto yasiyopendelea na yanayofichua uozo, nashindwa nikuelezee vipi lakini kwa sababu ni Mwanamke wa humu Jamiiforums nakupa sifa zangu βοΈππ
financial services shikamoo CPA wetu, π
π
π
nashindwa hata nikuelezee vipi maana kuna kazi nilikua humu hukunipa ripoti. Yote kwa yote You are among the world's real Women π
Seran Asante kwa uwepo wako japo naona kama ni I'd mpya, huwa nafurahi kila nikiangalia notifications zangu pale juu lazima utakuwa umehusika kwa namna yoyote kwenye content yangu niliyoandika π₯³π₯³ππ
cocastic , Mlongo vane haijaisha mpaka iishe πππ
Lamomy Oyaaaa heri nyingii sana,π§¨π§¨π§¨π§¨
Na wanawake woote wa Jamiiforums mna mchango mkubwa na wenye thamani kubwa sana, msijisikie vibaya kutowaandika au kuwa mention.