Hahahaaa. Pole sana.sikuwa mim dad sas ndo nakuelewa nin unamaanisha magufuli legeza baba khaa si kwa kupitwa huku
nishapoa dadHahahaaa. Pole sana.
hata wew piaMh! Ndio maana haukuitwa
Nipo mwaya. Lakini naingia shift ya usiku au mchana kwa bahati mbaya kama hivi..mpaka kwaresma iishe
hata wew pia
jamani wew acha tu mambl mengi halaf nadhan jan nilitoka mapema sana humu kama sio dad emmyta kuniambia ningekuwa sijui kity wew acha tu dunia hii[emoji19]Umeniangusha sana, sio wakujisahaulisha kiasi hicho. Tokea jana tunajiandaa kuidhimisha siku adhimu wewe unauliza kuna nini leo?
jamani wew acha tu mambl mengi halaf nadhan jan nilitoka mapema sana humu kama sio dad emmyta kuniambia ningekuwa sijui kity wew acha tu dunia hii[emoji19]
nashukur sanPole. Nikutakie maadhimisho mema ya hii siku muhimu
Wanawake ni Jeshi kubwa tupendane
Kujiendekeza tu + roho mbaya.Nahisi n maumbile tuko hivyonna hiyo ni moja ya mapungufunyetu
Happy women's day
IndeedWanawake wa nguvu hawa.
Mbona hujanipitia Khantwe? [emoji134] [emoji134] [emoji134]Kipekee, nikutakie sherehe njema ya siku ya mwanamke. Umpitie na Thad
Asante sana..kwa nini nimpitie Thad? Naona wivu ujue
Wanawake hawaoneani wivu, hasa hasa siku ya leo. Kauli mbiu ni mpendane.
[emoji23] [emoji23] umejua kunikomesha haya nitampitia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] bwana wee hata mwanaume hili lingemshinda. Uzuri nilikuwa muwazi sema yeye kajitia kunilazimisha kiaina kwa hiyo nikaamua kumkubalia yaishe...Mbona hujanipitia Khantwe? [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Inamaana ulimkubalia Samaritan ili kumridhisha tu? Kweli nimeamini wanawake HATUPENDANI[emoji18] [emoji18] [emoji18]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] bwana wee hata mwanaume hili lingemshinda. Uzuri nilikuwa muwazi sema yeye kajitia kunilazimisha kiaina kwa hiyo nikaamua kumkubalia yaishe...