[emoji23] [emoji23] uzuri mimi na wake wenzangu kopo na mfuniko...bebe yupo juzi tu alikuwa kwangu kwani tuko wangapi shostiHappy woman's day.
Yule mwanaume wetu umemficha wapi, tupendane
[emoji23] [emoji23] mbona dalili za kutompitia zilionekana mapema tu. Usiniambie uliamini kweli nitampitia
[emoji23] [emoji23] uzuri mimi na wake wenzangu kopo na mfuniko...bebe yupo juzi tu alikuwa kwangu kwani tuko wangapi shosti
Rafiki nashukuru umeniokoa na mkono wa Khantwe maana usingemtakia ya peke yake angenimwagia tindikali bure [emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji23] [emoji23] [emoji23] bwana wee hata mwanaume hili lingemshinda. Uzuri nilikuwa muwazi sema yeye kajitia kunilazimisha kiaina kwa hiyo nikaamua kumkubalia yaishe...
Sikujitia kukulazimisha, sina roho mbaya. Ok, happy woman's day Khantwe naona ulitaka nikupe ya peke yako
Rafiki nashukuru umeniokoa na mkono wa Khantwe maana usingemtakia ya peke yake angenimwagia tindikali bure [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Asante sister wa ukweli naomba umwambie heaven sent aje aniombee tena maana siku km hizi zinanikumbusha machungu na chuki yangu sina furaha hata kidogo mwenzioumesema kweli tpu!tupendane na tupeane michongo!
happy wanawake day
Naisubiria kwa hamu, hiyo huruma yako[emoji12] [emoji12] [emoji12]Umeharibu sana kunidanganya utampitia kisha ukaniuza. Itabidi nimhurumie tu dada wa watu
Asante sister wa ukweli naomba umwambie heaven sent aje aniombee tena maana siku km hizi zinanikumbusha machungu na chuki yangu sina furaha hata kidogo mwenzio
Naisubiria kwa hamu, hiyo huruma yako[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Amen! Kumbe u baba mchungaji?Baba Yetu uliye mbinguni, muumba vyote na mwenye uweza wote, gusa maisha ya kapeace kwa namna ya kipekee.
Umjalie kukujua wewe Mungu wa kweli, umpe amani itokayo kwako, umpe nguvu na ujasiri wa kusimama imara atakapofikwa na nyakati ngumu za majaribu.
Atambue kwamba wewe ndiwe Mungu ngome na kimbilio la wote. Wajalie upendo na uvulivu wanawake wote wanapokumbuka siku yao leo hii
Wabariki wanawake wote....na wote tuseme Aaaamen!
Duh asante sana kwa maombi yako best ubarikiwe mno kidogo ntachangamka labdaBaba Yetu uliye mbinguni, muumba vyote na mwenye uweza wote, gusa maisha ya kapeace kwa namna ya kipekee.
Umjalie kukujua wewe Mungu wa kweli, umpe amani itokayo kwako, umpe nguvu na ujasiri wa kusimama imara atakapofikwa na nyakati ngumu za majaribu.
Atambue kwamba wewe ndiwe Mungu ngome na kimbilio la wote. Wajalie upendo na uvulivu wanawake wote wanapokumbuka siku yao leo hii
Wabariki wanawake wote....na wote tuseme Aaaamen!
Ee tumechangiaHapo kwakweli nimeshindwa mimi. Mmechangia mme?
Tuko Wangapi? [emoji17]
Duh asante sana kwa maombi yako best ubarikiwe mno kidogo ntachangamka labda