Happy Women's Day

Jamani kwa nini? Ukija wewe utakuwa njia kuu na michepuko yote naiacha kweli tena

Nna moyo mdogo sana, hauwezi kuhimili vishindo. Hizo ngarambe zitanishinda tu..unafikiri ni rahisi kuiacha tabia kwa siku moja?
Leo acha tu tusherehekee siku ya wanawake.
 
Nna moyo mdogo sana, hauwezi kuhimili vishindo. Hizo ngarambe zitanishinda tu..unafikiri ni rahisi kuiacha tabia kwa siku moja?
Leo acha tu tusherehekee siku ya wanawake.
Niamini jamani nilikuwa nachepuka sababu sikupata mahali kwa kuweka mikono na miguu maana wote walikuwa pasua kichwa tu...kwako nitaanzaje labda kuchepuka, nikafuate nini [emoji13] [emoji13]
 
Jamani..ntafanyaje sasa mwenyewe ndo ushaamua. Clear rejection inauma ila inapona upesi. Thad njoo uone nimekuwa rejected mwenzio

Its not a rejection in such,just compatibility issues. Wee muulize Sakayo atakwambia, shunie na mzigua waliniambia hivyo hivyo kwamba ntakua njia kuu. Hadi sasa hivi natembea na chupa nimening'iniza drip.
 
Ebu niache kidogo leo jaman tusherehekee hii siku yetu wanawake

Nawapenda wanawake wa jf wakunyumba tupendane jamani kama unanichukia we jitahidi tu unipende Mungu azidi kutuweka
 
Ebu niache kidogo leo jaman tusherehekee hii siku yetu wanawake

Nawapenda wanawake wa jf wakunyumba tupendane jamani kama unanichukia we jitahidi tu unipende Mungu azidi kutuweka

Mie sina ugomvi mbona na wewe Mama yeyoo, naona kama unataka kunikwaruza kwa makusudi.
Heri ya siku ya wanawake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…