Happy Women's Day

Happy Women's Day

Sio kule tu,nimeedit hio comment hapo

Mfano halisi wa kuonyesha hatupendan ni siku ziliporushwa picha za nifah hapa jukwaan kupitia uzi wa kuilalamikia forex aiseee wanawake kupendana ni ndoto,wengi waliotoa comment za kejel kwa member mwenzetu ni wadada walimchambua vya kutosha


DUH! mie ndo naisikia leo !mwenzako nnasehem za kupita aisee !mie ndo naskia kwako !ht uzi wa forex mie ht sijui km nimewah ingia !and am sure hakuna cment zang huko!pole zake Nifah!
bt na ww ni chachu ya mabadiliko pia !
 
61031F3E-CC63-4596-9F60-711BB5BE9183.jpeg
232834F8-44D0-4F0B-A80B-C7DBDE12A083.jpeg
65873684-CEE3-4348-94D2-4CD88DD06C93.jpeg
CA51F96E-1F3A-491D-ABDE-EA92AA7BF568.jpeg
63DBA5FF-319D-4BDA-8063-8EC53361B162.jpeg
We, praise heroes everyday
But there are those that we forget To praise
The women of this world
.
 
Mbali na kasoro tulizo nazo ambazo haziwezi kaa zikaepukika bado sijawahi jutia kuwa mwanamke.

Mama ndio mlezi na siku zote anapoelimika mwanamke mmoja basi ni sawa na kuelimisha jamii nzima.

Happy Women's Day kwa wanawake wenzangu wote ndani ya jf.
 
Mmmh kupendana ngumu mno

Wivu ndo usiseme

Kufurahia anguko la wanawake wengine tunaongoza

Kubeza mafanikio ya wanawake wengine wa kwanza

Kushinda mtandaon kumsunta mtu kisa karudia kuivaa nguo yake aliyoinunua kwa pesa yake wa kwanza

Daima wanawake tutabaki dhaifu hasa kwa msemo wa mwanamke mjanja muibie mume au zaa na mume wake.(sasa hapo anakomolewa nani,si ndo mwanzo wa kuwa single maza watoto tele baba tofauti)

Makazin full majungu na kukitembeza kwa maboss ili kupata upendeleo au kupandishwa cheo

#pooovuuu#
Hahahaaaa. Hujawahi niangusha Rafiki.

Ukweli utabaki pale pale adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie.

Happy women's day rafiki.
 
Back
Top Bottom