Women's bana. Leo umama pembeni.Happy mama's day kwa wamama wote wa jf...
Ni wakati wa kusimama na kuonyesha uwezo wetu kwenye maendeleo ya familia, jamii na Taifa.
Umoja na ushirikiano uwe nguzo na upendo uwe msingi wetu daima!!!
Happy mama's day!!!!!
HahahaWomen's bana. Leo umama pembeni.
Hongera sana kwa kuwa na marafiki wa aina hiyo maana wengine wamekuwa ni wanafki mnoila inategemeana na aina ya marafiki kwakwel!na kuwa na marafiki weng nayo tabu!mie nna marafiki ambao wakija kwangu inabid mume aondoke atupishe tu!maana had room kwang wanakuja !na mm pia !yaan mpo free hatari !
Now and forever blessings!Wanawake wenzangu
Tuendelee kupambana
Tushirikiane na kusaidiana inapobidi
TUPENDANE pia japo pana ugumu hapa ila tujitahidi kufuta kauli ya adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie
Nawatakia mafanikio mema.
HAPPY WOMEN'S DAY.View attachment 707394
Sio kule tu,nimeedit hio comment hapo
Mfano halisi wa kuonyesha hatupendan ni siku ziliporushwa picha za nifah hapa jukwaan kupitia uzi wa kuilalamikia forex aiseee wanawake kupendana ni ndoto,wengi waliotoa comment za kejel kwa member mwenzetu ni wadada walimchambua vya kutosha
We, praise heroes everyday
But there are those that we forget To praise
The women of this world.
Umenipa raha mzigua 90. Uzuri mnajijua ...Wanawake wenzangu
Tuendelee kupambana
Tushirikiane na kusaidiana inapobidi
TUPENDANE pia japo pana ugumu hapa ila tujitahidi kufuta kauli ya adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie
Nawatakia mafanikio mema.
HAPPY WOMEN'S DAY.View attachment 707394
Happy woman's day.Huu uzi umeshageuka wa kuchambana sasa
HakikaAiseee ila tutafika tu
Happy Women Day To Those Who Know To Cook. Enjoy Your Day
Hahahaaaa. Hujawahi niangusha Rafiki.Mmmh kupendana ngumu mno
Wivu ndo usiseme
Kufurahia anguko la wanawake wengine tunaongoza
Kubeza mafanikio ya wanawake wengine wa kwanza
Kushinda mtandaon kumsunta mtu kisa karudia kuivaa nguo yake aliyoinunua kwa pesa yake wa kwanza
Daima wanawake tutabaki dhaifu hasa kwa msemo wa mwanamke mjanja muibie mume au zaa na mume wake.(sasa hapo anakomolewa nani,si ndo mwanzo wa kuwa single maza watoto tele baba tofauti)
Makazin full majungu na kukitembeza kwa maboss ili kupata upendeleo au kupandishwa cheo
#pooovuuu#
A MeeeenView attachment 707448
Roho ya kukandamizana ishindwe na ilegee kabisa, shindwa shetani shiiiiiiiiindwwwwwwa!
Hahahaaa. Lol.Happy Women Day To Those Who Know To Cook. Enjoy Your Day