Happybirthday @Uran

hahahaha kumbe kuna dili... Bas stakuwepo ntakaa mbal nawachungulia najua mme wangu atanismlia kla k2.

Ukichungulia dili halitanoga bana,we fanya kubaki home tuu. Tehe teheee
 
Happy birthday uran,Mwenyezi Mungu akujalie maisha marefu ya Furaha,Afya njema na mafanikio tele!Mzidi kupendana na shemeji wangu Valentina!

Dedication: uran na Valentina kweli walipendana na mapenzi yao yakadumu,Mwenye wivu ajinyonge baba,mwenye wivu ajinyonge.....By Saida Karoli!!
 
Last edited by a moderator:

Asante sana my shemeji ubarikiwe. Msalimie mke mwenzangu,jion karibuni tule keki ya pamoja!
 
Last edited by a moderator:
Happy b.day uran. Mungu akupe maisha marefu yenye wingi wa rahaa na buraha
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday chief uran God bless u! Nakutakia maisha marefu wewe na ubavu wako Valentina hakika mmependezana mpaka mnafanana sasa, naomba muendelee hivyo hivyo ili muwe mfano kwetu nami. Na mwenzangu charty tunafuata nyayo zenu,
Once again HaPpy Born day commander.
 
Last edited by a moderator:

my baby love
 
Last edited by a moderator:
Hongera yake na Hongereni sana kwa pamoja
 

Namshukuru sana Mungu kwa Neema na Upendo wake kwangu mpaka nafikia umri huu!!

thank you much sweetyheart 'Valentina' for ur apreciations!!
nakupenda, ubarikiwe sana.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…