Happybirthday @Uran

Happybirthday @Uran

Hakika siku hii ni kati ya siku muhimu sana kwangu na kwako mpenzi wangu uran. Ashukuriwe Mungu kwa neema yake kwako na abarikiwe mama aliekuleta duniani na kukukuza kwa malezi bora mpaka hapo ulipofika mpenzi. Kwa moyo mnyenyekevu na wafuraha nikutakie heri mpenzi wangu. Mungu azidi kukubariki katika kila hatua unayopiga,ubarikiwe shambani ubarikiwe na mjini. Mtegemee Bwana wala usitegemee akili zako,katika njia zako mkiri yeye nae atanyoosha mapito yako. HAPPY BIRTHDAY MY LOVE

In good memory of this day!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom