Eshy m.s
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 2,926
- 1,560
hahahahaha
unacheka unaona mazuri eeh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahaha
nimefuta kauli! nilikuwa namtania 'Valentina' tuu
Yani nawewe unafuta kweli? Ooowei
unacheka unaona mazuri eeh!
Ngoja nikupe mapumziko mafupi ila tutakutana tena kwenye kona wewe.
Kama hajagundua basi hapo umepona shogaa!
ambao waume zetu wapo vitani tuna shiiiiiiida
hahaha polee shemeji, sasa unaepukaje vishawishi?
Najikaza kisabuni shem
niko hapa honey wangu charminglady
niko hapa honey wangu charminglady
Hakika siku hii ni kati ya siku muhimu sana kwangu na kwako mpenzi wangu uran. Ashukuriwe Mungu kwa neema yake kwako na abarikiwe mama aliekuleta duniani na kukukuza kwa malezi bora mpaka hapo ulipofika mpenzi. Kwa moyo mnyenyekevu na wafuraha nikutakie heri mpenzi wangu. Mungu azidi kukubariki katika kila hatua unayopiga,ubarikiwe shambani ubarikiwe na mjini. Mtegemee Bwana wala usitegemee akili zako,katika njia zako mkiri yeye nae atanyoosha mapito yako. HAPPY BIRTHDAY MY LOVE