hahahaha kumbe kuna dili... Bas stakuwepo ntakaa mbal nawachungulia najua mme wangu atanismlia kla k2.
Kila la kherii...ndo malezi hayo
Karibu tena
Erick..ndiyo,yupo
usikae mbali bana sogea kwa ukaribu zaidi..
Ukichungulia dili halitanoga bana,we fanya kubaki home tuu. Tehe teheee